Ruka hadi maudhui

Mboga Beni

Nyanya, vitunguu, sukuma wiki, kisamvu, mchicha, kabichi, karoti, hoho, bamia, biringanya, kitunguu saumu na tangawizi, kwa fungu, kipande au kilo. Tunakuletea Beni au uchukue dukani; lipa ukipokea au kwa pesa ya simu.

Bidhaa 12

InstaSoko