Zana za kilimo na bomba za kunyunyizia Kisumu
Bomba za mgongoni za lita 16 na 20, panga, sepeto, reki, sururu, toroli, mikasi ya bustani na keni za kumwagilia, kutoka Total, Dayliff na Ingco. Agiza ukiwa Kisumu, uletewe au uchukue, ulipe taslimu au kwa pesa ya simu.
Bidhaa 3



