
Dayliff · DLIP-10024
Betri ya sola ya lithium Dayliff DLIP V 24 Ah 100 (kWh 2.6)
KSh 50,000
Ipo · Kuletewa au kuchukua
Kuhusu bidhaa hii
Betri ya LiFePO4 ya V 24 kwa mfumo mkubwa wa sola wa nyumba au duka, inayoendana na inverter za Dayliff Ultraverter.
Maelezo ya kiufundi
| Uwezo | 100 Ah (2.4-2.6 kWh) |
|---|---|
| Nguvu ya kutoa | 100 A max discharge, 50 A max charge |
| Volteji | 24 V |
| Ukubwa | 52.2 x 24 cm |
| Uzito | 23 kg |
| Malighafi | LiFePO4 with BMS |
Inauzwa na
Davis & Shirtliff Kisumu
Oginga Odinga Road, Kisumu, Kisumu


