
Huawei · B320-923
Router ya nyumbani ya 4G Safaricom Huawei B320-923
KSh 3,000
Ipo · Kuletewa au kuchukua
Kuhusu bidhaa hii
Router ya Wi-Fi ya nyumbani ya 4G ya Safaricom: weka laini, iunganishe na umeme kisha ugawe intaneti kwa Wi-Fi au Ethernet.
Maelezo ya kiufundi
| Mtandao | 4G LTE |
|---|---|
| Muunganisho | Wi-Fi 4 (802.11n), 2.4 GHz |
| Tundu | 1 Ethernet LAN/WAN, 1 RJ11 phone |
| Laini | Nano-SIM |
| Ukubwa | 12.5 x 12.5 x 2.45 cm |
| Uzito | 155 g |
Inauzwa na
Hotpoint Appliances, Mega City Mall
Mega City Mall, Nairobi Road, Kisumu, Kisumu



