Ruka hadi maudhui

Nyama na kuku Mombasa

Nyama ya ng’ombe, ya mbuzi na ya kusaga, kuku mzima, mapaja, mabawa, firigisi, soseji na kuku wa kienyeji, kutoka Kenchic, Qualiko na Farmer’s Choice. Tunaleta ndani ya Mombasa au uchukue buchani; lipa ukipokea au kwa pesa ya simu.

Bidhaa 8

InstaSoko