Vifaa vya usalama kazini Mombasa
Helmeti za kazini, buti na gambuti zenye chuma mbele, glavu, vesti za kuakisi mwanga, miwani, vizuia kelele na barakoa za vumbi za Total na Ingco. Tunaleta ndani ya Mombasa au uchukue; lipa taslimu au kwa pesa ya simu.
Bidhaa 4




