
TOTAL · TPVP1381
Poka ya kutikisa zege TOTAL mm 38, mpira m 6
KSh 13,000
Ipo · Kuletewa au kuchukua
Kuhusu bidhaa hii
Poka ya mm 38 kwenye mpira wa m 6 inayoshindilia zege mbichi kwenye sakafu, nguzo na boriti; inaendeshwa na injini ya TOTAL.
Maelezo ya kiufundi
| Ukubwa | 38 mm head, 6 m hose |
|---|---|
| Uzito | 16 kg |
Inauzwa na
Bin Ahmad Hardware
Jomo Kenyatta Avenue, opposite Modern Coast Parcel, Mombasa Island, Mombasa



